Testimonies

By, Juma Mwesigwa Mohamed
Founder/Executive Director
Huheso Foundation. 

Niwapongeze Broadcast Technology Limited kwa kazi nzuri mnazozifanya. Binafsi naona mko juu sana, kwani kama mmeniwezesha kunisaidia kuandika andiko la kuomba masafa na kufika hatua tulipo ni nzuri sana, naamini na wengine wanaona. Nishauri muendelee na moyo huo huo kwani kazi mnayoifanya ni kama kusaidia maana gharama si kubwa mie nasema ni kusaidia tu. Asanteni sana